Majaribio ya Imani (Tempting Faith)

Majaribio ya Imani (Tempting Faith)
Author :
Publisher : Genesis Press Kiswahili
Total Pages : 186
Release :
ISBN-10 : 9781585716609
ISBN-13 : 158571660X
Rating : 4/5 (60X Downloads)

Book Synopsis Majaribio ya Imani (Tempting Faith) by : Crystal Hubbard

Download or read book Majaribio ya Imani (Tempting Faith) written by Crystal Hubbard and published by Genesis Press Kiswahili. This book was released on 2012-04-03 with total page 186 pages. Available in PDF, EPUB and Kindle. Book excerpt: Mwandishi wa habari za burudani Faith (Fortunata) Wheeler anajua siri ambayo inaweza kumpa umaarufu mkubwa Hollywood. Kwa bahati mbaya siri hiyo inaweza kumuharibia umaarufu wake mkubwa msanii nyota Zander Baron. Nyota mpya kabisa anaechipukia kwa kasi wa filamu za ngumi waHollywood Zander ana kila sifa ambazo mwanaume yeyote angependa kuwa nazo – na mwanamke anazovutiwa nazo. Mtanashati, ana akili, huruma na mcheshi. Zander ana hewa ya ajabu ambayo inamfanya alete mshawasha wa kutaka kumjua zaidi. Hakuna mtu anayejua ukweli kuhusu asili na pengine hata jina lake halisi. Isipokuwa Fortunata. Fortunata anajua kila kitu kuhusu mwanaume huyu aitwaye Zander Baron, kwa sababu alishawahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi usiku mmoja wa ajabu na kusikitisha walipokuwa bado vijana katika mji mdogo wa Booger Hollow, Magharibi mwa Virginia. Faith anamfahamu alivyo na zaidi ya hapo anamjua Zander ni nani. Akijawa na mipango ya kumfichua , Zander anatafuta kila mbinu ya kumnyamazisha. Anatumia uwezo wake wa akili , muonekano wake, uchangamfuwake na njia zote kumshawishi afiche siri yake, lakini maafa yanapoikumba tena Booger Holow, Zander anagundua ukweli kwamba hawezi kuishi bila ya mwanamke huyu – ni ufunguo wa kuaw na Fortunata.


Majaribio ya Imani (Tempting Faith) Related Books

Majaribio ya Imani (Tempting Faith)
Language: en
Pages: 186
Authors: Crystal Hubbard
Categories: Fiction
Type: BOOK - Published: 2012-04-03 - Publisher: Genesis Press Kiswahili

DOWNLOAD EBOOK

Mwandishi wa habari za burudani Faith (Fortunata) Wheeler anajua siri ambayo inaweza kumpa umaarufu mkubwa Hollywood. Kwa bahati mbaya siri hiyo inaweza kumuhar
Senkatana
Language: en
Pages: 105
Authors: Sophonia Machabe Mofokeng
Categories: Drama
Type: BOOK - Published: 2021-10-01 - Publisher: NYU Press

DOWNLOAD EBOOK

Senkatana is a tragic play adapted from Sotho folk narrative. The play is regarded as a classic of Sesotho literature. Seen as one of the greatest essayists and
Practical and Systematical Swahili Bibliography ; Linguistics, 1850-1963
Language: sw
Pages: 104
Authors: Marcel Van Spaandonck
Categories: Swahili language
Type: BOOK - Published: 1965 - Publisher: Brill Archive

DOWNLOAD EBOOK

Four Centuries of Swahili Verse
Language: en
Pages: 323
Authors: Jan Knappert
Categories: English poetry
Type: BOOK - Published: 1988 - Publisher:

DOWNLOAD EBOOK

The Miracle of Language
Language: en
Pages: 262
Authors: Richard Lederer
Categories: Language Arts & Disciplines
Type: BOOK - Published: 2010-05-11 - Publisher: Simon and Schuster

DOWNLOAD EBOOK

Master verbalist Richard Lederer, America's "Wizard of Idiom" (Denver Post), presents a love letter to the most glorious of human achievements... Welcome to Ric